Tundu Lissu Rais mpya (TLS) Mwanasheria Mkuu Chadema Tundu Lissu achaguliwa kuwa Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kwa jumla ya kura 1,411 kati ya 1,682 zilizopigwa. Read more about Tundu Lissu Rais mpya (TLS)