Iran haina dhamira ya silaha za Nyuklia
Rais wa Iran Masoud Pezeshkian, ametangaza mbele ya Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kwamba nchi yake haina dhamira ya kuunda silaha za nyuklia huku zikiwa zimebaki siku chache kabla ya kuanzishwa tena kwa vikwazo.