Mugabe agoma kung'oka
Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe, ameendelea kusisitiza kwamba yeye bado ni kiongozi halali wa nchi hiyo na kukataa upatanishi unaofanywa Kasisi mmoja wa Kanisa Katoliki ili kuwezesha mabadiliko ya uongozi kwa njia amani baada ya jeshi kuchukua