Niliachana na Uwoya kwa ajili ya Ndikumana
Mwanamuziki wa bongo fleva nchini Msami Baby amefunguka na kusema wazi kwamba aliwahi kujuta kuwa na mahusiano na Irene Uwoya baada ya kujua kwamba anamuumiza aliyekuwa Mume wa muigizaji huyo, Marehemu Hamadi Ndikumana aliyefariki