Kafulila apewa neno kuhusu mkewe Mbunge wa Arusha Mjini kupitia CHADEMA Godbless Lema, amefunguka kuhusu kitendo cha David Kafulila kuhama CHADEMA na kusema ana amini atamshauri mke wake naye afuate nyayo zake. Read more about Kafulila apewa neno kuhusu mkewe