Neymar Jr kujitoa Brazil Nyota wa Brazil Neymar Jr amesema atajitoa kwa uwezo wake wote kuhakikisha taifa lake linashinda Kombe la Dunia mwaka 2018 kwenye fainali zitakazofanyika nchini Urusi. Read more about Neymar Jr kujitoa Brazil