Vitu vya 'Diamond' ningehusika navyo- Lulu Diva
Msanii wa Bongo Fleva anayetamba na ngoma ya 'Give it to me', Lulu Diva amedai endapo ndoto yake ya kuwa mwanamuziki isingetimia basi angekuwa mfanyabiashara mkubwa wakuuza vitu vya urembo pamoja na dhahabu.