Simba waweka wazi hali ya Bocco Klabu ya soka ya Simba SC kupitia kwa msemaji wake Haji Manara imetoa taarifa kuhusu maendeleo ya mshambuliaji wake John Bocco ambaye aliumia jana kwenye mechi ya ligi kuu dhidi ya Mwadui FC. Read more about Simba waweka wazi hali ya Bocco