Wasira amtaka Zitto Kabwe aipumzishe
Aliyekuwa Waziri na Mbunge wa Jimbo la Bunda, Stephen Wasira amemtaka Mbunge wa Kigoma mjini Zitto Kabwe (ACT-Wazalendo) kuipumzisha Chama cha Mapinduzi (CCM) katika ukurasa wake wa ‘twitter’ kuhusiana na mjadala wa Maaskofu wa KKKT.