Serikali kuongeza muda wa likizo ya uzazi
Serikali inaandaa utaratibu utakuowezesha kuongeza muda wa likizo ya uzazi kwa akinamama waajiriwa ambao watajifungua watoto kabla ya wakati, ili kusaidia kutenga muda wa kutosha kwa wazazi kuwa karibu zaidi na watoto hao.