Lechantre kuondoka, mrithi wake atajwa
Klabu ya Simba kupitia kwa msemaji wake Haji Manara imeweka wazi kuwa uwezekano wa kocha mkuu wa klabu hiyo Mfaransa Pierre Lechantre, kubaki ni asilimia ndogo sana na huenda ataondoka tu baada ya mkataba wake kumalizika.