CHADEMA kukata rufaa
Wakili wa utetezi katika kesi Na. 112/2018 inayowakabili Viongozi Wakuu wa CHADEMA wakiongozwa na M/kiti Mhe Freeman Mbowetz na Wabunge kadhaa wa chama hicho, Peter Kibatala ameieleza mahakama kusudio la kukata rufaa kutokana na kutoridhishwa na uamuzi wa mahakama.