Tunataka ubingwa wetu - Mchenga Bball Star Nahodha wa Mabingwa watetezi wa michuano ya Kikapu Sprite Bball Kings, Mchenga Bball Star Mohamed Yusuf, amesema wamekuja kusajili timu yao kwa lengo la kutetea ubingwa wao na hakuna timu itawasumbua. Read more about Tunataka ubingwa wetu - Mchenga Bball Star