Timu zafurahia kuondolewa kwa 'Walk Over'
Timu mbalimbali zilizojiandikisha leo kushiriki michuano ya mpira wa Kikapu ya Sprite Bball Kings msimu wa 2018, zimeeleza kufurahishwa na hatua ya kamati ya mashindano kuondoa kipengele cha 'Walk Over' kwenye mchujo.