Jeshi labeba jukumu la miili 13
Miili 13 ya Marehemu waliofariki katika ajali ya basi la Igunga Trans iliyotokea eneo la Igodima kata ya Mwansekwa jijini Mbeya, ikiwemo ya Vijana wa Jeshi la Kujenga Taifa JKT, Askari wa Jeshi la Wananchi Tanzania , Dereva wa basi la Igunga na Utingo wake inatarajiwa kuagwa kesho.