Mchezaji wa Azam atimkia Hispania

Mshambuliaji chipukizi wa Azam FC, Shaaban Iddi Chilunda akisaini Mkataba.

Mshambuliaji chipukizi wa Azam FC, Shaaban Iddi Chilunda amesaini mkataba wa miaka miwili kujiunga na CD Tenerife ya Daraja la Kwanza nchini Hispania.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS