Watumishi wanyimwa kukaa maofisini

Naibu Waziri wa Maji Jumaa Aweso

Naibu Waziri wa Maji, Jumaa Aweso amewaagiza viongozi wa mamlaka ya mabonde hapa nchini kuacha kukaa maofisini na badala yake waende kwa wananchi kutoa elimu juu ya kutunza vyanzo vya maji.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS