Waziri Ndugulile amsaka 'mchawi' kwa wajawazito
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Faustine Ndungulile amuagiza Mganga Mkuu wa Mkoa wa Simiyu kutafuta chanzo cha ongezeko la vifo vya kina mama wajawazito licha ya asilimia 80 ya kinamama kujifungulia katika vituo vya afya.