“Mtapata maeneo ya kufungia Ndoa”- Magufuli Rais Dkt. John Magufuli . Rais Dkt. John Magufuli amesema kuwa daraja jipya la Salenda, litakuwa ni ukurasa mpya wa kutengeneza mandhari ya jiji la Dar es salaam kutokana na muonekane wake litapomalizika kujengwa. Read more about “Mtapata maeneo ya kufungia Ndoa”- Magufuli