Majibu ya Rufaa ya Mbowe na wenzake
Mahakama ya Rufaa imetupilia mbali rufaa iliyofunguliwa na viongozi wa Chadema wakiongozwa na mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe kutokana na kasoro za kikanuni katika hati ya taarifa ya kusudio la kukata rufaa.