Kuwa na wapenzi wengi ni ugonjwa wa akili
Kitendo cha kumsaliti mpenzi wako au Kutamani kuwa na mpenzi zaidi ya mmoja kumetajwa ni miongoni mwa matatizo yanayoweza kusababishwa na magonjwa ya akili endapo mshiriki wa vitendo hivyo atashinikizwa na matamanio ya kimwili yatakayotokana na hali ya mazingira.