Onyo la mashabiki lamfurahisha kocha

Mashabiki wa Coastal Union.

Kocha mkuu wa Coastal Union, Juma Mgunda amesema anasikitika kwa kitendo cha mashabiki wa timu hiyo kuingia uwanjani kushangilia matokeo baada ya mchezo lakini anafurahi kwasababu hawakuja kufanya vurugu.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS