Wachezaji wa Taifa Stars wakifanya mazoezi kwenye uwanja wa Estádio da Várzea.
Kocha msaidizi wa timu ya taifa ya Tanzania, 'Taifa Stars' Hemed Morocco, amesema wamepokelewa vizuri na hakuna figisu zozote walizofanyiwa mpaka sasa kwenye kambi yao huko nchini Cape Verde.