Ifahamu tamaduni hii ya kupasua midomo
Jamii moja katika kisiwa cha Phuket kusini mwa Thailand imeendesha tamasha la kitamaduni na la kidini linalojulikana kwa jina la ‘Taoist’ kwaajili ya kujitakatisha dhidi ya madhambi, ambapo washiriki husheherekea kwa kujichoma mishale, visu na mapanga katika mashavu yao.