Chid Benz amuonya Jux, heshima imepungua Jux na Chid Benz Msanii wa miondoko ya HipHop nchini Rashid Makwiro maarufu Chid Benz amemshtumu msanii wa Bongofleva Jux kwa madai ya kutomlipa katika 'show' ya Money & Love iliyoandaliwa na Jux pamoja na Vanessa. Read more about Chid Benz amuonya Jux, heshima imepungua