Kodi ya nyumba yamkera Rais Magufuli
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli amesema kuwa Tanzania haifanyi vizuri kwenye suala la ukusanyaji wa mapato ukilinganisha na baadhi ya nchi barani Afrika kulingana na pato lake la taifa.