Kocha apiga stop wachezaji kupiga 'Selfie'
Inaelezwa kuwa kocha wa klabu ya Tottenham Hortspurs, Mauricio Pochettino amewaeleza wachezaji wake kuwa hafurahishwi na kitendo cha wachezaji kupiga picha za 'Selfie' katika vyumba vya kubadilishia nguo wakiwa hawajashinda kombe lolote.