"Mtanzania akikamatwa hatutamtetea" - Waziri
Waziri wa Mifugo, na Uvuvi Luhaga Mpina amesema wizara yake haitamvumilia mwananchi yeyote ambaye atathibitika kuvunja sheria ambazo zinalinda rasilimali ikiwemo mifugo na uvuvi, lengo ni kuzifanya rasilimali hizo zimnufaishe kila mmoja.