Mrema akosoa maazimio ya vyama 6 vya upinzani
Mwenyekiti wa Chama Cha Tanzania Labour Party (TLP) na Mwenyekiti wa bodi ya Parole Agustino Mrema amekosoa maazimio sita ya vyama vya upinzani nchini kwa kile alichokidai yanaweza yasiweze kuwa na matokeo yeyote kwa medani za siasa nchini.

