TANESCO yaomba radhi, yasema chanzo Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), limeomba radhi wateja wake wa mikoa iliyounganishwa na gridi ya Taifa kwa katizo la umeme lililotokea leo Desemba 29, 2018 majira ya Saa 9:00 Alfajiri. Read more about TANESCO yaomba radhi, yasema chanzo