Krismasi yaondoka na wanne Kagera Watu wanne wamefariki dunia mkoani Kagera katika kusherehekea sikukuu za Krismasi na siku ya Boxing Day , kufuatia matukio manne yaliyotokea kwa nyakati tofauti mkoani humo. Read more about Krismasi yaondoka na wanne Kagera