Rais Magufuli ampa nyumba Shilole

Rais Dkt. Magufuli akiwa na Shilole.

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva ambaye pia ni mjasiriamali wa chakula, Zuwena Mohamed 'Shilole' amefunguka kuwa Rais Magufuli amechangia kukamilisha ujenzi wa nyumba yake.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS