Viongozi wa Simba kushoto wakiwa na viongozi wa Power Dynamos kulia.
Klabu ya soka ya Simba imeeleza kupokelewa vizuri na viongozi wa klabu ya soka ya Power Dynamos ya Zambia chini ya Rais wao pamoja na CEO wa timu, ambao pia wamewapatia uwanja wa kufanyia mazoezi.