Kubenea amkana Makonda

Mbunge wa Ubungo (CHADEMA) Saed Kubenea.

Mbunge wa Ubungo (CHADEMA) Saed Kubenea amesema kuwa kitendo cha Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda kusema kuwa yeye na Mbunge wa Kibamba John Mnyika walitaka kujiunga na CCM, si kweli.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS