Msanii auawa na mpenzi wake

Msanii wa vichekesho nchini Kenya ambaye ni maarufu kwenye igizo la 'Vioja Mahakamani', Jamal Nasor, ameuawa baada ya kuchomwa kisu na mpenzi wake aliyetambulika kwa jina la Grace Kananu.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS