Bodi yaja kivingine kwa wanaodaiwa mikopo
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu, HESLB imekuja na mfumo mpya wa kielektoniki wa ulipaji madeni ya waliyokuwa wanufaika wa mikopo, ambapo mfumo huo utajulikana kwa jina la 'Goverment Electronic Payment Getway' (GEGP).

