Rais wa zamani wa Brazil ahukumiwa miaka 27 jela

Rais wa zamani wa Brazil Jair Bolsonaro amehukumiwa kifungo cha miaka 27 na miezi mitatu jela saa chache siku ya jana Alhamisi baada ya kukutwa na hatia ya kupanga mapinduzi ili kusalia madarakani baada ya kushindwa katika uchaguzi wa 2022.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS