Sababu ya video ya Bilnass na Roma kutumia watoto Roma na Bilnass wakiwa na watoto, Madee (kulia) akiwa na mwanaye Chonge Msanii wa Hip Hop kutoka kundi la Rostam, Roma amezitaja sababu za yeye pamoja na Bilnass kuamua kuwatumia watoto wa mastaa katika video ya wimbo wa 'Funga geti'. Read more about Sababu ya video ya Bilnass na Roma kutumia watoto