Kipigo cha Simba chamuibua Afande Sele

Afande Sele

Kipigo cha pili mfululizo cha Simba katika michuano ya Klabu Bingwa Afrika kimeendelea kuwachanganya mashabiki na wanachama wa klabu hiyo huku hatma ya nafasi katika kundi lao ikiendelea kuwa mashakani.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS