Daladala zapewa siku 2 kuondoka kituo cha Gerezani
Kituo cha Gerezani
Wamiliki wote wa daladala wanaotumia kituo cha Gerezani wamepewa siku mbili kutakiwa kuondoa gari zao ndani ya kituo hicho ili kupisha ujenzi wa miundombinu ya Mabasi yaendayo Kasi (DART).