Rais Samia asisitiza kuwaenzi mashujaa

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amewaomba watanzania kuendeleza uzalendo kwa kulinda uhuru, amani na mshikamano waliouacha mashujaa kwa taifa.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS