''Tunafahamu Raphael alipo'' - Zitto Kabwe
Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, amesema anazo taarifa juu ya wapi alipo kijana Raphael Ongangi aliyetekwa Juni 24, 2019, huku akiwataka watekaji kumwachia kwani vitendo hivyo ni vya kishamba.