TFDA yabadilika, yaikabidhi majukumu TBS Nembo ya TFDA Jukumu la kudhibiti chakula na vipodozi limehamishwa kutoka iliyokuwa mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA), kwenda shirika la viwango Tanzania (TBS). Read more about TFDA yabadilika, yaikabidhi majukumu TBS