Auawa na watu wasiojulikana Shinyanga
Kamanda wa polisi Mkoa wa Shinyanga Richard Abwao, amesema watu wasiojulikana wamevamia na kumuua mtu mmoja aliyejulikana kwa jina la Hamis Kadilanha Salehe, tukio lililotekea Agosti 6,2019 majira ya saa mbili usiku, ambapo watu wapatao watano walitekeleza mauaji hayo na kujeruhi

