Baada ya simu ya Magufuli, Makontena yafika Mwanza
Baada ya Rais Magufuli kukagua ujenzi wa Cherezo pamoja na ukarabari wa Meli jijini Mwanza siku ya Jumanne Julai 16, 2019 na kubaini baadhi ya makontena yenye vifaa yamekwama bandarini hatimaye yameanza kufika Mwanza.