JPM aagiza kigogo aliyesimamishwa arudi kazini

Rais Magufuli na Dkt. James Mataragio.

Rais Magufuli ameagiza Dkt. James Mataragio  arejeshwe katika nafasi ya Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC), baada ya kusimamishwa kazi tangu Agosti 2016.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS