Vumbi la barabarani laua 6 Shinyanga
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Shinyanga ACP Richard Abwao, amethibitisha kupokea taarifa ya vifo vya watu sita huku wengine 22, wakijeruhiwa kutokana na ajali iliyohusisha gari aina ya Toyota hiace na Land Cruiser, iliyotokea Julai 21, majira ya 1:00 usiku, katika eneo la Nyambuka Wilaya ya Ka