Waziri apinga waraka, asema wananchi wako 'busy' Waziri wa Mifugo na Uvuvi Luhaga Mpina, amewabeza viongozi mbalimbali wanaoonekana kuzikandamiza juhudi za maendeleo, zinazofanywa na Rais Dkt. John Pombe Magufuli. Read more about Waziri apinga waraka, asema wananchi wako 'busy'