Nembo ya Benki yatengenezwa kwa Mil. 495
Kufuatia ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Profesa Mussa Assad ya mwaka wa fedha 2017/2018, aliyoiwasilisha Bungeni mapema mwa mwaka 2019, iliyoeleza gharama ya utengenezaji wa nembo ya Benki ya TPB, imekuja na sura mpya.

