T Touch azungumzia Young Dee kulelewa Marekani Young Dee na mpenzi wake 'Producer' mkali wa muziki wa Bongo Fleva, Mr T Touch amezungumzia juu ya tetesi kuwa msanii Young Dee kutunzwa na mwanamke aliyemzidi umri huko nchini Marekani. Read more about T Touch azungumzia Young Dee kulelewa Marekani